Mkurugenzi
mkuu wa mamlaka ya vitambulisho vya taifa-NIDA- Dickson Maimu (wa tatu
kushoto) na viongozi wengine nane wa taasisi hiyo wamefikishwa katika
mahakama ya hakimu mkazi kisutu mapema leo.Habari zaidi tutawaletea.
Mnamo mwezi January 2016, Rais Magufuli aliamua kutengua uteuzi wa Mkurugenzi wa mamlaka ya vitambulisho vya taifa (NIDA) Bwana Dickson Maimu na kumsimamisha kazi yeye na wafanyakazi wengine ili kupisha uchunguzi wa namna ilivyotumika kiasi cha shilingi bilioni 179.6 katika zoezi la upatikanaji wa vitambulisho vya taifa wakati bado kuna malalamiko kwamba watu wengi hawajapata vitambulisho hivyo. .