Vijana Wadogo Wafanyishwa Ngono na Wanyama

MOMBASA inafahamika kwa mambo mengi, ikiwemo madawa, ukahaba na mengineyo kibao lakini hili linalofanyika eneo la Mtwapa limetia fora. Ukahaba si jambo tena la kujificha bali ni jambo ambalo watu wanalipia kulishuhudia live.

Kumekuwepo vitendo ambapo wanaume na wanawake hulipia kwa ajili ya kuwaangalia vijana wadogo wanaofanya ngono na wanyama.


Vijana hao wadogo wa kiume na kike hupatiwa mafunzo kwa ajili ya shughuli hiyo kutokana na hali ngumu ya maisha inayosababishwa na umasikini.

Mmoja wa mashuhuda wa vitendo hivyo vya udhalilishaji anasema vijana hao kabla ya kufanyishwa ngono na wanyama, hutumia madawa ya kulevya na baada ya kulewa hupewa dakika zisizozidi 20 kufanya ngono na wanyama na kupatiwa malipo kiduchu. Jambo linalosikitisha na baya zaidi ni kwamba vijana hawa wa kike na kiume umri wao ni kati ya miaka 8 hadi 17.

Kila ninapofikiria jinsi wanaume na wanawake wanavyolipia kwa ajili ya kuangalia hii laana huwa nashindwa kuelewa utu wao. Je, ingengukwaje kama vijana hawa wangekuwa watoto wao?

Nashindwa kuelewa kabisa hii ni aina gani ya biashara inayodhalilisha watoto – alisema shuhuda huyo.

Wanyama wanaotumika sana katika vitendo hivyo ni mbwa ila sababu ya kwa nini wanawatumia wanyama hao haikufahamika.
Chanzo: standardmedia.co.ke


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo