skip to main |
skip to sidebar
TCU imetoa Orodha ya Vyuo Ambavyo Havitaruhusiwa Kudahili Wanafunzi 2016/17
Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU) imetoa orodha ya vyuo ambavyo
havitaruhusiwa kudahili wanafunzi kwa mwaka wa masomo 2016/17. Vyuo
vilivyozuiwa kudahili ni pamoja na;
1. International Medical and Technological University (IMTU) – Kozi zote.
2. St. Francis University College of Health and Allied Sciences (SFUCHAS) – Kozi zote.
3. University of Bagamoyo (UoB) – Kozi zote..
4. St. Joseph University of Engineering (SJUCET) – Kozi zote..
5. University of Dodoma (UDOM) – Kozi ya udaktari
6. State University of Zanzibar (SUZA). – Kozi ya udaktari
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi