MWANZA: Vurumai kubwa yazuka baada ya wafanyabiashara kudai kupandishiwa kodi kwa 1,000%

Vurumai imezuka stendi ya Mwanza baada ya wafanyabiashara kudai kupandishiwa kodi yao kutoka 20,000 hadi 200,000 kisha kufungiwa maduka yao walipogoma kulipa.

Maduka 164 kati ya 213 yaliyopo katika stendi hiyo, mkurugenzi wa halmashauri ya Ilemela amedai wakiendelea kuchelewa kulipa watakata makufuli yao na kutoa bidhaa zao nje na kuweka wapangaji wengine

ANGALIA VIDEO HII


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo