“Kusema kweli mimi naweza nikasema hicho kitu wanachosema wenzake, naweza nikakataa kwa sababu alivyokuwa akija hapa nilikuwa najaribu kuongea naye, kumuelekeza, na kama hayo ni masuala sijui kuhusu dawa, ye alikuwa nasema mama kwa nini mtu ujiumize? Mimi vitu kama hivyo kwa kweli sipo, na ndio maana napenda ku-crush hasa mtu kama anataka kuniongelesha vitu ambavyo haviendani kabisa na utaratibu katika maisha yakwangu, bora nishike ninalojua mwenyewe nafanya nini katika kazi zangu”, alisema mama yake Mangwea Bi. Denisia Constantine.
Pamoja na hayo mama wa msanii huyo amesema kabla hajafariki Ngwea alikuwa akimlalamikia kubaniwa kazi zake, lakini hakuonesha kukata tamaaa