Wanafunzi wa chuo kikuu cha cha Dar es salaam leo wamegoma
wakiishinikiza bodi ya mikopo kutoa fedha kwa ajili ya kujikimu.
Makamu wa Rais wa serikali ya wanafunzi, Shamila Mshengema amesema mgomo huo ni matokeo ya taarifa zisizoeleweka zilizo kuwa zikitolewa na bodi juu ya lini fedha hizo zitatolewa.
Kwa kawaida pesa ya chakula huingiziwa kila baada ya siku 60 na mpaka sasa yapata wiki mbili pasipo kupatikana.
Mgomo huo unakuja zikiwa zimebaki siku mbili kabla ya Rais Magufuli Kuzulu chuo hicho kwa ajili ya uzinduzi wa jengo la Maktaba.

Naibu Makamu mkuu wa chuo anaongea kuhusu hili, sauti iko hapa chini