Sikiliza Audio hii Kujua Alichokifanya Magufuli huko Mwanza leo

Rais Dkt.John Pombe Magufuli ametua jijini Mwanza akielekea Chato na kutoa maagizo ya kukamilishwa kwa ukarabati njia ya ndege na kuruhusu barabara iliyokuwa imefungwa na uongozi wa Mkoa wa Mwanza kwa ajili ya kuzuia waendesha bodaboda.

Hapo chini kuna ripoti ya dakika tatu ya mambo yote aliyoyafanya Rais Magufuli baafanya Rais Magufuli baada kutua Mwanza


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo