Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) mara alipowasili nyumbani kwa maraehemu mzee Selemani Mrisho Kikwete kwa ajili ya kutoa pole kwa familia ya marehemu pamoja na ndugu wa marehemu akiwemo Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete kufuatia kifo cha mzee Selemani Mrisho Kikwete kilichotokea nchini India.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mzee Mohamed Seif Khatib (kulia) mara alipowasili nyumbani kwa maraehemu mzee Selemani Mrisho Kikwete kwa ajili ya kutoa pole kwa familia ya marehemu pamoja na ndugu wa marehemu akiwemo Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete kufuatia kifo cha mzee Selemani Mrisho Kikwete kilichotokea nchini India.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akisalimiana na Kadhi Mkuu wa Tanzania Sheikh Abdallah Mnyasi mara alipowasili nyumbani kwa maraehemu mzee Selemani Mrisho Kikwete kwa ajili ya kutoa pole kwa familia ya marehemu pamoja na ndugu wa marehemu akiwemo Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete kufuatia kifo cha mzee Selemani Mrisho Kikwete kilichotokea nchini India.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai (katikati) pamoja na Kadhi Mkuu wa Tanzania Sheikh Abdallah Mnyasi wakijadiliana nyumbani kwa marehemu mzee Selemani Mrisho Kikwete wakati Spika alipotembelea kwa ajili ya kutoa kwa pole kwa familia ya marehemu pamoja na ndugu zake leo Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya waomborezaji waliohudhuria kuhani msiba nyumbani kwa marehemu mzee Selemani Mrisho Kikwete kwa ajili ya kutoa pole leo Jijini Dar es Salaam.