Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa mwakilishi wetu visiwani Zanzibar, Salma Said (pichani), amekamatwa na watu wanaoaminika kuwa wanatoka vyombo vya usalama kwa sababu ambazo bado DW haijazielewa. Ungana nasi kwenye matangazo ya jioni.
Chanzo: DW(Kiswahili)
Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa mwakilishi wetu visiwani Zanzibar, Salma Said (pichani), amekamatwa na watu...
Posted by DW (Kiswahili) on Friday, March 18, 2016
Wakati huu tukifunga matangazo yetu ya moja kwa moja kutoka hapa Bonn leo tarehe 18 Machi 2016, bado hatujuwi mwandishi...==> Hapo chini kuna Mahojiano ya DW na Salma Said akiwa sehemu ambayo haijulikani
Posted by DW (Kiswahili) on Friday, March 18, 2016