Angalia Picha za wanafunzi wakibipu kipindupindu

 Mwanafunzi wa darasa la pili shule ya Msingi Izumbwe kata ya Igale Wilaya ya Mbeya Atu Aden (11) akichota maji ya mvua ambayo yametuhama barabarani,maji hayo ni kwa ajili ya matumizi ya nyumbani muda wa masomo kama alivyokutwa na mpiga picha hivi karibuni




Mwanafunzi wa darasa la pili shule ya Msingi,Izumbwe kata ya Igale Wilaya ya Mbeya,Viviani Philipo (8) akitochata maji ya mvua  yaliyotuhama barabarani,kwa ajili ya matumizi ya nyumbani muda wa masomo kama alivyokutwa na mpiga picha hivi karibuni (Picha zote na Kenneth Ngelesi)


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo