Rais mteule wa Zanzibar Dr Ali Mohamed Shein akiapishwa kuwa Rais wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kwa miaka mingine mitano,viongozi mbalimbali wastaafu na mabalozi pamoja na wageni waalikwa nao wamejumuika katika sherehe hizo katika uwanja wa Amaan.






