Koffi Olomide Mzee wa Selfie atua jijini Dar

12342523_1004892959554122_3208336349537672418_n
Koffi Olomide akiongea na wanahabari baada ya kutua jioni ya jana Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar

Koffi Olomide amaeshatua jijini  Dar tangu jana usiku kilichobaki ni burudani siku ya kesho Escape One jijini Dar


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo