Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe, wiki iliyopita nusura apige mwereka nchini India alipokwenda kuhudhuria mkutano wa wakuu kadhaa wa nchi.
Mugabe mwenye umri wa miaka 91, alikuwa akielekea jukwaa kuu lakini ghafla alitaka kuanguka baada ya kuifikia ngazi ya kwanza.
Lakini shukrani za dhati zielekezwe kwa msaidizi wake aliyemuwahi kumsaidia, hii ni mara ya pili kwa Rais huyo kukumbana na misukosuko kama hii.
Tazama tukio zima hapo chini.