Katibu Tawala Mpya wa Mkoa wa Lindi Bwana Ramadhani Kaswa akila kiapo mbele ya Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam jana.
Katibu Tawala Mpya wa Mkoa wa Lindi Bwana Ramadhani Kaswa akipongezwa na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam jana.
(Picha na Freddy Maro)