Kigwangala azua mtafaruku twitter, ni baada ya kupost ishu ya Lowassa

Ni mbunge wa Nzega Dr. Hamisi Kigwangalla ambaye alikua miongoni mwa waliojitokeza kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya CCM kuwania Urais wa Tanzania 2015.
Leo August 5 2015 alitumia page yake ya twitter kuyatoa yake ya moyoni kwa kuandika sentensi kadhaa kuhusu CHADEMA na Edward Lowassa kwa kuandika >>> ‘Baada ya safari ya matumaini kufa nimeambiwa Edward Lowassa ameiba jina la safari ya mabadiliko toka kwa Kigwangalla
CHADEMA ilipata umaarufu kwa kupinga ufisadi na kumchafua Lowassa, leo wana kazi ya kumsafisha na kujieleza kuwa wao si wa aina yake,  uchaguzi2015 CCMitaheshimika zaidi, upinzani utapotezwa vibaya sana na utakufa kifo cha aibu #MagufuliMtendaji ‘
bonyeza hapa uone zaidi


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo