Staa wa Bongo Fleva ambaye jina lake limebeba uzito mkubwa Afrika, Diamond Platnumzanayo furaha kushare na sisi hii good news… Post yake Instagram inasomeka hivi >>> ‘My mom’s face it’s enough to Express how i feell… Welcome to the world@princess_tiffahSura ya mama yangu inatosha kueleza ni kiasi gani najiskia ndani ya Moyo wangu… karibu kwenye ulimwengu@princess_tiffah‘ >>>> @diamondplatnumz
A photo posted by Chibu Dangote..😷 (@diamondplatnumz) on
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube