Waislamu kuendelea na mfungo leo Ijumaa, mwezi bado haujaonekana

Taarifa iliyotolewa na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhaj Musa Salum zimesema mwezi haujaonekana hivyo Waislam nchini waendelee na mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo