Msigwa Apata Ridhaa ya Wananchi Kuongoza Miaka Mitano Mingine

Mbunge wa Mbeya Mhe. Joseph Mbilinyi (sugu) watatu toka kushoto akiteta jambo na Mhe/ Peter Msigwa Mbunge wa Iringa katika mkutano wa kumpa ridhaa Mbunge Mhe. Peter Msigwa kugombea ubunge kwenye jimbo hilo kwa miaka 5 ijayo kwa tiketi ya chama chake, CHADEMA.
 Msanii wa Bongo Flava Roma Mkatoliki akinogesha mkutano huo.
Mwimbaji wa nyimbo za injili Flora Mbasa akiimba moja ya nyimbo zake kwenye mkutano huo uliofanyika jana Jumapili July 19, 2015 mjini Iringa. 

Mhe. Joseph Mbilinyi mbunge wa Mbeya akiunguruma kwenye mkutano huo wa wananchi wa Iringa wa kumpa ridhaa Mbunge wao Mhe. Peter Msigwa kugombea tena kwa miaka 5 katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Octoba mwaka huu.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo