MASHABIKI WA SIMBA WAPATA AJALI YA GARI WAKIWA NJIANI KUELEKEA SHINYANGA

Moja ya stori ambacho zimeanza kuchukua nafasi kwenye kurasa za watu mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo Whatsapp na Instagram ni ishu ya ajali ambayo imetokea leo.
Mwandishi wa Habari za michezo TZ na Mtangazaji  Shaffih Dauda ameweka post kwenye ukurasa wake wa Instagram, inahusu ajali ya gari la mashabiki wa timu ya Simba Sports Club; “Wanachama wa tawi la mpira na maendeleo maarufu kama Simba Ukawa wamepata ajali wakiwa njiani kuelekea mkoani shinyanga,Taarifa zaidi zitafuata…“– @
IMG-20150403-WA0046


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo