SERENGETI FIESTA 2014, T.I AWA GUMZO, HIZI NI PICHA ZA SHOW ILIVYOKUWA PALE LEADERS CLUB

Rapa kutoka nchini Marekani, Clifford Harris,'T.I' akitoa burudani kwenye tamasha la Fiesta Leaders Club jijini Dar.
Staa wa Bongo Fleva Nasib Abdul 'Diamond Platinum' akiimba juu ya jukwaa la Fiesta ndani ya Leaders Club.


Msanii kutoka Nigeria, David Adedeji Adeleke 'Davido' akamua kwenye tamasha la Fiesta Leaders Club jijini Dar.
Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platinumzakifanya makamuzi na Davido (kulia).
Wasaniiwa Ya Moto Bandwakifana yao.
Rapper Nay wa Mitego akilishambulia jukwaa la Serengeti Fiesta.
Mkali kutoka Morogoro Stamina akitoa burudani.
(PICHA NA MUSA MATEJA,RICHARD BUKOS/GPL)


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo