MMMH HII SASA KALI, HEBU TAZAMA HII PICHA

Tumezoea kuona land rover kama hizi zikitumika kama break down za kubeba magari mabovu barabarani ama wakati mwingine yaliyopata ajali, lakini safari hii kamera yetu imeshuhudia gari hilo likiwa limebeba pikipiki za kutosha, sasa hatukufahamu mara moja kama pikipiki hizo ni mbovu zinahitaji kuvutwa ama vipi, hii ni Msimbazi jijini Dar. Picha na Ujiji


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo