GHETO FM NI REDIO MPYA ITAKAYOANZA KUSIKIKA JIJINI DAR KUPITIA MASAFA YA 95.4

Maandalizi ya kukipokea kituo kipya cha redio jijini Dar es salaam yanaendelea kwa kasi ambapo tumeshuhudia kituo kitakachoitwa Gheto Fm kitakachosikika kupitia 94.5 kikiandaa matangazo ya kuonesha ujio wao mpya

Kwa sasa maandalizi yanaendelea, tusubirie tuone itakuwaje


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo