skip to main |
skip to sidebar
VIMINI VYASABABISHA DIDA KUSHINDWA KUFANYA KAZI IKULU
MTANGAZAJI wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani
kinachorushwa kupitia Radio Times, Hadija Shaibu ‘Dida’ amefunguka kuwa
kamwe hawezi kufanya kazi Ikulu kutokana na vimini anavyovitinga.
Mtangazaji wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani wa Radio Times, Hadija Shaibu ‘Dida’.
Akizungumza na Amani, Dida, alisema kuwa anafurahia sana kazi
anayofanya kwa sababu inamruhusu kuvaa nguo yoyote anayojisikia vikiwemo
vimini.
“Kufanya
kazi Ikulu ningeshindwa kwani kuvaa nguo ni kwa sheria, huwezi
kujivalia tu, kazi yangu nipo huru naweza kuvaa kitu chochote kile
nikajisikia nina amani, lakini Ikulu lazima utinge koti na kuchomekea,”
alisema Dida.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi