PICHA ZA UZINDUZI WA VIDEO MBILI ZA PROF JAY ULIVYOKONGA NYOYO ZA MASHABIKI


Nguli wa Muziki wa Kizazi kipya, Joseph Haule a.k.a Professa J jana aliweza kufanya vyema katika uzinduzi wa video zake mbili, 'Kipi Sijakisikia' na 'Tatu Chafu' uliofanyika jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo uliweza kuhudhuriwa na wasanii mbali mbali ambao walikuja kumpa support. 
 
 
Msanii Professa J akitoa burudani.
Msanii Professa J akizindua video zake.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo