MZOGA WA NYANGUMI WAIBUKA PWANI YA MTWARA, TAZAMA PICHA HIZI HAPA

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjTvMq3_W8vTeVl41cNaFotQyBfvEeAmMYkJsrCvyIa7XAeJ3I3K-DBA2MkxLYB7kkWIjMAusL32yY23xLpPi0QJ5ckwFhBtraIVqIqPToM9U9oHEkaPKhIoz36kq-xrAlO6OAMJ6d4B-Es/s1600/861d1cf6d73e46742201ed3cb36d6ce8+(1).jpghttps://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiHJ1fkpOZmTSM-6r1bAMQCgCy2WfRYMjtT1V96Cu1ky1p4Tt54xvIcAfJYV9VH8z6qykdv2E6aS4edSgKv9j0tAn6B5EyOATTlli3AIy6TQ7uwDAgAVrItUUL4LiuTRabNYyQo_z3WaWKS/s1600/f6725c0e2bb75dead8ad32ae0caa1905+(1).jpg 
Mzoga wa samaki aina ya nyangumi umeibuka katika pwani ya Mtwara leo baada ya kukutwa ukielea bahari kuu na wavuvi. Mzoga huo ulivutwa hadi pwani kwa mshangao wa wananchi. Taarifa kamili ya tukio hilo zinatafutwa kwa sasa angalia taswira za mzoga huohttps://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhC_7frtI3k0NekBs5YW65XGCRjIXvhgLd_ohyphenhyphen2exQXusmjlI5OJkyRzggKSlOAPrIkalFwM6GKmHrXnSlDqE5LaWJ8_UJ7bTi3iASQf50HrkjA2K8lEVs-L9GHq07B_rVeew4lxxGRcQ44/s1600/39036934eea4ff666af2a65b333b9e7b.jpg


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo