MFANYABIASHARA maarufu nchini Nigeria
amefariki dunia mara baada ya kubakwa na wake zake watano kati ya sita
anaowamiliki. Hiyo ni kwamujibu wa gazeti la Dail Mail. Awali Kabla ya
kurejea nyumbani kwake inatajwa kuwa Uroko Onoja alikuwa akipata ulabu
wake (pombe) katika baa moja huko Ugbugbu katika jiji la Benue hadi mida
ya majogoo.
Tajiri huyo mfanyabiashara aliporejea nyumbani kwake huku akiwa na
usongo wa mambo nyeti ya sita kwa sita, aliamua kukata kiu kwa mke wake
mdogo (mke wa sita). Hata hivyo, wake zake wakubwa watano ile kuona
hatua hiyo, ndipo walipoingiwa na wivu nao wakachukuwa hatua ya kutinga
chumbani nao wapewe mambo. Wakiwa na silaha za asili kama visu na fimbo
walivamia kitanda cha Onoja na kumlazimisha to have sex with them as
well.

Onoja alitumika kwa wake zake wanne kwa
zamu. Lakini hali ilikuwa tete pindi mke wa tano alipo mkaribia
mfanyabiashara huyo ili naye apewe mambo. Onoja alikuwa akipumua kwa
taabu sana, kisha pumzi zikakata akafariki dunia papo hapo. Kuona hali
hiyo mke huyo wa tano akatokomea kusikojulikana, ile hali wake wengine
wawili kati ya hao wanashikiliwa na jeshi la polisi nchini Nigeria kwa
kosa la mauaji na ubakaji. Onoja was a prominent member of the Ugbugbu
community.
