Wewe ni msichana mwenye kipaji cha mitindo lakini haujui uanzie wapi? Wewe ni msichana mwenye kipaji cha kuigiza ? Unatafuta nafasi ya kuigiza kwenye filamu ? Kama jibu ni ndio basi hii ni habari njema sana kwako.
Kampuni
inayo jihusisha na ku- manage wanamitindo pamoja na wasanii
wenye vipaji mbalimbali inatangaza nafasi za kazi zifuatazo :
A. WANAMITINDO WANAWAKE ( FEMALE MODELS )
Sifa za wanamitindo wanao hitajika :
i.Awe na elimu ya kuanzia kidato cha nne na kuendelea.
ii.Awe wa jinsia ya kike
iii.Awe anaweza kuwasiliana kwa ufasaha kwa lugha za Kiswahili na kiingereza.
iv. Awe na passion na kazi ya mitindo.
MAJUKUMU YA KAZI :
Kufanya
kazi za mitindo katika projects mbalimbali za kampuni zilizopo
ndani na nje ya mkoa wa Dar Es salaam pamoja na nchi
jirani.
B. WASANII WA FILAMU.
Sifa za wasanii wanao hitajika :
i.Awe wa jinsia ya kike.
ii.Awe na kipaji cha ukweli cha uigizaji.
iii.Elimu ya kuanzia kidato cha nne na kuendelea.
MAJUKUMU :
Kushiriki katika filamu mbalimbali zinazo tolewa na kampuni mbalimbali za utayarishaji filamu.
JINSI YA KUTUMA MAOMBI YAKO
1. Andika maombi yako kupitia barua pepe yetu ambayo ni : neemarecruitmentagency@gmail.com
Maombi yako yaelekezwe kwa Mkurugenzi Mtendaji, Neema Recruitment Agency.
2.
Leta maombi yako moja kwa moja katika ofisi zetu zilizopo
katika eneo la CHANGANYIKENI karibu na CHUO CHA TAKWIMU mbele
ya CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM.
JINSI YA KUFIKA OFISINI KWETU :
Kufika
ofisini kwetu panda daladala za UBUNGO-CHANGANYIKENI kisha
shuka kituo kinaitwa TAKWIMU ukifika hapo tembea hatua ishirini
mbele kisha tazama upande wako wa kulia utaona ofisi
imeandikwa RAEFO TANZANIA.
Kwa maelezo zaidi piga simu 0784406508.
