WANAODAIWA KUMUUA AFISA USALAMA WA TAIFA WABURUZWA MAHAKAMANI

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imewapindisha kizimbani watu wanne wanaodaiwa kumuua kwa kumpiga risasi Ofisa Usalama wa Taifa, Sylvanus Mzeru maeneo ya Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere, Aprili 29, mwaka huu usiku.

Watuhumiwa hao ni Mohamed Othuman, Lucy Wiston,Omary Said , Kelvin Peter ambao walisomewa shitaka lao na wakili wa Serikali, Seina Kapenge.Kesi hiyo imeahirishwa hadi Agosti 20, mwaka huu itakaposikilizwa tena katika mahakama hiyo.
 Mtuhumiwa Mohamed Othuman anayedaiwa kuwa ni afisa usalama akiwa amelala chini baada ya kushindwa kukaa.
 Mtuhuhiwa Lucy Wiston akiwa kwenye ulinzi mkali


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo