RADIO EFM YAZIDI KUIBOMOA RADIO ONE...., BAADA YA KITENGE SASA YAMNYAKUA OMARI KATANGA


Embedded image permalink
Aliyekuwa Mtangazaji wa Radio One Omari Katanga leo amejiunga rasmi na 93.7 EFM akifuata nyayo za pacha wake Kitenge . Saa moja iliyopita EFM katika page yake ya twitter waliandika kuwa wamemsainisha mtangazaji wa zamani wa Radio One kujiunga na Radio yao. baada ya siku mbili zilizopita mtangazaji mahiri wa habari za michezo nchini Maulid Kitenge kujiunga na EFM.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo