RAIS KIKWETE AZINDUA CHAPISHO LA TATU LA TAARIFA ZA SENSA


Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi chapisho la tatu la taarifa za msingi za kidemografia,kijamii na kiuchumi pamoja na tovuti katika kupata taarifa za Sensa na Makazi katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwl.Julius Nyerere jijini Dar es Salaam JANA.
Viongozi wengine walioshiriki katika hafla ya uzinduzi huo kutoka kushoto ni Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Bibi Mariam Khan Mwakilishi wa UNFPA,Waziri Mkuu Mizengo Pinda,Waziri wa Fedha Bi.Saada Mkuya na kulia ni Kamishna wa Sensa na Makazi Hajjat Amina Mrisho Said.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wageni waliohudhuria hafla ya uzinduzi  wa Chapisho la tatu la taarifa za msingi za kidemografia,kijamii na kiuchumi pamoja na tovuti itakayowezesha kupatikana kwa taarifa mbalimbali za sensa ya watu na Makazi katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es salaam 


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo