NUH MZIWANDA AZUNGUMZIA MAAMUZI YAKE YA KUJICHORA TATOO YENYE JINA LA SHILOLE

nuh mziwandaa
Kuna aina nyingi sana za mapenzi ambazo watu wanatumia kuonyesha hisia zao kali kwa wapenzi wao,lakini kwa hii imeonekana ni tofauti kwa Nuh Mziwanda ambaye Nuh kaamua kujichora tatoo yenye jina la Shilole mkononi,kila alichokisema Shilole na Nuh Mziwanda mwenyewe kipo hapa.

Bonyeza play kusikiliza.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo