Mtangazaji wa idhaa ya kiswahili ya BBC Salim Kikeke ameibuka mshindi katika Tuzo za watu zinazotolewa usiku huu jijini Dar, katika kipengele cha Mtangazaji wa runinga anayependwa. Hawa ndiyo aliokuwa anachuana nao
MTANGAZAJI WA RUNINGA ANAYEPENDWA
1. Salama Jabir – EATV
2. Sam Misago – EATV
3. Salim Kikeke – BBC Swahili
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi