Ni kwa sababu ya kuzuia michango ya maendeleo hadi taarifa za michango
hiyo zitolewe!
Baadhi ya Madiwani wamemwagiza Tundu Lissu atoe michango
hiyo toka mfukoni mwake kama hataki watu wachangie, lakini Diwani mmoja
amedai kwamba anajua kwamba Lissu ni mwanasheria lakini matendo yake
hayafanani na taaluma yake!
Hata hivyo Tundu Lissu ameshikilia msimamo
wake wa kuzuia wananchi kuchangisha michango! Kwa hiyo imeamuliwa
afikishwe kwenye Kamati ya Maadili ya Madiwani ili kumjadili!
Source:
Habari, Star Tv.
