LORI LAZIBA BARABARA MIKUMI NA KUKALISHA WATU ZAIDI YA SAA NNE, JIONEE HAPA



 Shughuli ya kuliondoa Lori hilo barabarani ikiwa inaendelea ili kupisha watu wapate kupita
 Baadhi ya watu wakiwa wametoka katika vyombo vyao vya usafiri wakingoja Lori liondolewe ili waendelee na safari

 Hivi sasa Mabasi na magari mbalimbali sasa yanaendelea na safari kama kawaida
 Picha na Morogoro yetu Blog


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo