KWA WANACHUO WA KAM COLLEGE KAMPASI YA KIMARA, MDAU BENSON MOSHI ANAOMBA KURA YAKO

Mdau Benson Moshi ambaye ni mwanafunzi wa KAM College Kampasi ya Kimara anapenda kuwataarifu wadau wake wote kuwa anagombea nafasi ya Mwenyekiti wa vijana wa CCM (UVCCM) tawi la chuo hicho, hivyo anaomba sana kura yako katika uchaguzi unaotegemewa kufanyika wiki ijayo. 

Mdau anaimani anaweza kuleta maendeleo kama mwenyekiti mtarajiwa endapo utampa kura yako, anaomba siku ya uchaguzi usipoteze kura yako kwa kumchagua mtu mwingine awe mwenyekiti zaidi yake, pamoja tumuunge mkono!


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo