Hii
ni exclusive! Star mkubwa wa filamu nchini anayetamba na filamu kibao
sokoni Rose Ndauka anatolewa mahari leo hii baada ya kuwa katika uchumba
na msanii mwenzake wa Bongofleva Malick Bandawe "Chiwa Man"
kwa muda mrefu na kufanikiwa kupata
mtoto wa kike miezi kadhaa iliyopita. Chanzo kimoja cha kuaminika
kilicho karibu na upande wa mume kimeitumia sms Swahiliworldplanet
mchana huu kikisema "Rose Ndauka tunamtolea mahari leo".
Chanzo hicho
kilipododoswa tena kwa kuulizwa mahari ni kiasi gani na ndoa inategemewa
kufanyika lini kilijibu kwa ufupi kwa kusema "We unanifanya niwe
paparazi....sijui ni how much...nitakujibu later" Rose Ndauka kutolewa
kwa mahari inamaanisha kuwa harusi yake na Malick Bandawe ni hivi
karibuni so watch this space for more.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi