Msanii maarufu na mtumbuizaji Hapa nchini Nassib Abdul, maarufu
kama DIAMOND PLATNUMZ, ni miongoni mwa wasanii waliochaguliwa kwenda
katika Tuzo za B.E.T zinazoandaliwa na kituo cha Television cha watu
weusi nchini Marekani 'Black Entertainment Television' (BET) Tuzo ambazo
zinatambulika sana kimataifa.
Msanii huyu ambae amekuwa nominated kwenye category ya 'Best African Acts' akichuana na wasanii kama Davido (Nigeria), Mafikizolo (Afrika Kusini), Sarkodie (Ghana), na Tiwa Savage (Nigeria). Diamond ambae amekuwa nominated ndio msanii pekee kutoka Africa Mashariki ambae ametangazwa rasmi siku ya Jana katika mtandao wa BET.com.