Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia watoto mapacha
waliokuwa wanasubiri kupata matibabu katika Hospitali ya Ngaliema
iliyopo jijini Kinshasa jana.Rais Kikwete alikwenda hospitalini hapo
kumjulia hali balozi wa Tanzania nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Mh.,Antony Ngereza Cheche anayetibiwa hospitalini hapo(picha na Freddy
Maro)CHEKI JINSI HAWA WATOTO WANAVYOCHEZA NA TAI YA RAIS KIWETE, CHEZEA WATOTO WEWE
By
Edmo Online
at
Sunday, May 11, 2014

Maro)