BREAKING NEWS: WAFANYAKAZI WA HOTELI YA SHARON UBUNGO JIJINI DAR WAGOMA

Wafanyakazi wa Hoteli ya Sharon iliyopo Ubungo jijini Dar es Salaam wagoma kuendelea na majukumu yao ya kila siku huku kisa kikielezwa kuwa ni kutolipwa mshahara wao wa mwezi Aprili.
 
Habari kutoka eneo la tukio zinasema, mgomo huo umefanyika ikiwa ni baada ya wafanyakazi hao kujiunga na chama cha wafanyakazi kiitwacho Chadau  jambo linalopingwa na uongozi wa hoteli hiyo.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo