skip to main |
skip to sidebar
RAIS KIKWETE AZINDUA OFISI YA TRA KARATU
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunu kitambaa katika jiwe la
msingi kuashiria kufungua rasmi ofisi ya Mamlaka ya mapato Wilaya ya
Karatu leo mjini Karatu.picha na Freddy Maro
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Mbumge wa Karatu mchungaji Israeli
Nase(Watatu kushoto),Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe(Wapili
kushoto),Mkuu wa Mkoa wa Arusha Magesa Mulongo(kushoto) na Mkurugenzi wa
Utumishi na utawala wa TRA aliyemwakilisha Kamishna mkuua wa TRA Bwana
Abubakari Kunenge(wapili kulia) na kulia ni mwakilishi wa ofisi ya TRA
Mkoa Bi.Caroline Ntinku.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi