Gari aina ya Pick Up imezama maji leo
asubuhi
kwenye feri ya Dar es salaam
baada ya dereva kushindwa kulizua gari
hilo
kuteleza wakati anasubiri Pantoni. Inasemekana alishindwa kufunga
Break.
Credit:Sammisago.
PICHA: GARI LATUMBUKIA BAHARINI JIJINI DAR ES SALAAM, TAZAMA PICHA
By
Edmo Online
at
Friday, April 25, 2014
