Kaimu
Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Elias Kwesi (mwenye
suti), akikata utepe kuzindua rasmi mradi wa maji katika Zahanati ya
Mvuti, Kata ya Msongola, Wilayani Ilala, Dar es Salaam jana, uliojengwa
na Kampuni Bia Tanzania (TBL). Wa pili kulia ni Mkuu wa mahusiano na
sheria wa Kampuni hiyo, Bw. Stephen Kilindo, Diwani wa Kata hiyo, Bi.
Angelina Malembeka na Ofisa Mauzo wa TBL Ilala, Bw. Godrack Kalebi.
Kaimu
Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Elias Kwesi (mwenye
suti kulia), akiondoa kitambaa kuzindua mradi wa maji katika Zahanati ya
Mvuti, Kata ya Msongola, Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam jana,
uliojengwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), anayemsaidia ni Ofisa Mauzo
wa TBL Ilala, Bw. Godrack Kalebi. Wanaoshudia ni Mkuu wa Mahusiano wa
TBL, Bw. Stephen Kilindo na Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala,Dkt.
Asenga Severin.
Kaimu
Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Elias Kwesi (mwenye
suti), akijaribu kufungua koki ya bomba la maji, baada ya kuzindua
mradi wa maji katika Zahanati ya Mvuti, iliyoko Kata ya Msongola,
Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam jana, kilichojengwa na Kampuni Bia
Tanzania (TBL). Wa pili kulia ni Mkuu wa mahusiano na sheria wa Kampuni
hiyo, Bw. Stephen Kilindo, Ofisa Mauzo wa TBL, Ilala, Bw. Godrack
Kalebi na Ofisa Uhusiano wa kampuni hiyo, Bi. Doris Malulu.
(mwenye
suti), akisaidia kumtwisha ndoo ya maji mkazi wa kijiji cha Mvuti, Bi.
Aghata Senga, baada ya kuzindua mradi wa maji katika Zahanati ya Mvuti,
iliyoko Kata ya Msongola, Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam jana,
uliojengwa na Kampuni Bia Tanzania (TBL). kulia ni Mkuu wa Mahusiano na
sheria wa TBL, Bw. Stephen Kilindo, Ofisa Mauzo wa TBL kanda ya Ilala,
Bw. Godrack Kalebi (wa pili kulia) na Diwani wa Kata hiyo, Bi. Angelina
Malembeka (mwenye kilemba kushoto).
Kaimu
Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Elias Kwesi (mwenye
suti), akijaribu kufungua koki ya bomba la maji, baada ya kuzindua
mradi wa maji katika Zahanati ya Mvuti, iliyoko Kata ya Msongola,
Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam jana, kilichojengwa na Kampuni Bia
Tanzania (TBL). Wa pili kulia ni Mkuu wa mahusiano na sheria wa Kampuni
hiyo, Bw. Stephen Kilindo, Ofisa Mauzo wa TBL, Ilala, Bw. Godrack
Kalebi na Ofisa Uhusiano wa kampuni hiyo, Bi. Doris Malulu.
Kaimu
Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Elias Kwesi (mwenye
suti), akimshika mkono wa pongezi Afisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia
Tanzania (TBL), Bi. Doris Malulu (wa pili kulia), wakati wakielekea
kuzindua mradi wa maji katika zahanati ya Mvuti, iliyoko Kata ya
Msongola, Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam jana, ulichojengwa na TBL.
Kulia ni Mkuu wa mahusiano na sheria wa Kampuni hiyo, Bw. Stephen
Kilindo.