HUYU NDIYE MWANAUME ALIYEJITOKEZA HADHARANI NA KUELEZEA ANAVYONYANYASWA NA MKE WAKE

Ndg Mustapha Manga
Super Woman Joyce Kiria
Je, umepata nafasi ya kufuatilia kisa hiki? Ni suala la kweli lililomkuta Mustapha ambaye analalamikia kuanyanyaswa na mke wake. Joyce Kiria na Wanawake Live tulipata nafasi ya kufuatilia kwa undani suala hili na hapa, pata sehemu ya kwanza na ya pili ya mazungumzo kati ya Super Woman Joyce Kiria na Mustapha kisha na mke wake Mustapha kufahamu mustakabali mzima wa familia hii.

Mke wa Mustapha
Mke wa Mustapha wakijadiliana na Joyce Kiria
Je, baba Mustapha alipata alichokitaka? Ni nini hicho alichotaka? Tazama video hizi 3, na pia unaweza ukatembelea www.wanawakelivetv.com kwa ajili ya mengi zaidi.
Video 1: Mustapha 
Video 2: Mke wa Mustapha Video 3: Je, Mustapha alipata alichokuwa anakitaka?SOURCE: www.wanawakelivetv.com


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo