Wadau Nakushukuru mwenyezi MUNGU kwa kunifikisha siku hii ya leo Alhamisi Aprili 24 ambapo naadhimisha siku ya kuzaliwa, ni kwa neema yako tu mimi kufika hapa nilipo, nakuomba unisaidie kwa kila kitu katika maisha yangu nizidi kukutumikia vyema.
Edwin Moshi,
C.E.O
Eddy Blog
