H. BABA ATEMBELEA KABURI LA MAREHEMU COOL JAMES, AAMUA KULIFANYIA USAFI HUKO MWANZA

H.baba kutoka wikiendi iliyopita amefanya ziara ya kutembelea familia ya James Dandu ambayo iko Mwanza ambapo pia alifika mpaka lilipo kaburi lake Ngudu,Kwimba hapo H.baba alipalilia pamoja na kutoa heshima zake kwenye kaburi la Muasisi huyu wa tuzo za Tanzania. 

Mbali na kuwa muasisi tu Cool James ambaye alifariki Agost 2002 alikua ni miongoni mwa wasanii wa kwanza kuutangaza muziki wa Bongo Fleva nje ya nchi,Hizi ni picha baadhi ambazo zinamuonyesha H.baba akiwa na familia pamoja kaburi alilozikwa James Dandu.H.Baba akiwa na wazazi wa marehemu Dandu 
H. Baba akiwa na wazazi wa marehemu Cool JamesH.Baba akifanya usafi kwenye kaburi la Dandu
H baba akifanya usafi kwenye kaburi la Dandu. Chanzo:bongo5
H.Baba akiwa kwenye kaburi la marehemu Dandu na baadhi ya ndugu wa Dandu


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo