Kocha David Moyes ameondolewa rasmi kwenye majukumu yake ya ukocha
katika klabu ya Manchester United. Taarifa rasmi ya klabu hiyo imetolewa
kupitia mtandao wa Twitter unaweza kuicheki hapo chini……
BREAKING NEWS: MANCHESTER UNITED YATANGAZA RASMI UAMUZI WA KUMFUKUZA DAVID MOYES
By
Edmo Online
at
Tuesday, April 22, 2014
