Kikosi cha timu ya Yanga SC kilichoanza dhidi ya Tanzania Prisons ya Mbeya leo.
Kikosi cha Prisons kilichokula 5-0 leo taifa.
Hekaheka wakati wa mchezo huo.
Mshambuliaji wa Yanga Emmanuel Okwi akimtoka mchezaji wa Prisons.
Oscar Joshua wa Yanga (kulia) akimtoka Salum Kimenya wa Prisons.
Mshambuliaji wa Yanga, Jerson Tegete akiipangua ngome ya Prisons.
YANGA SC leo imefanya mauaji baada ya kuishushia kipondo cha bao 5-0
Tanzania Prisons kwenye mechi ya Ligi Kuu Bara iliyopigwa Uwanja wa
Taifa jijini Dar es Salaam.
Mabao ya Yanga yamewekwa kimiani na Emmanuel Okwi dakika ya 20, Mrisho Ngassa
dakika ya 37, Hamis Kiiza aliyetupia mawili dakika ya 68 na 88 pamoja na
Nadir Haroub 'Cannavaro' dakika ya 78.
(PICHA NA RICHARD BUKOS / GPL)
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube