PICHA ZA RAY, IRENE UWOYA, DIAMOND NA JOHARI ZAGEUZWA MAPAMBO YA MGAHAWA

Picha za mastaa wa filamu na muziki nchini Tanzania zimetumika kama mapambo katika restaurant moja nchini China. 

Kwa mujibu wa blog ya Swahiliworldplanet restaurant hiyo inaitwa Medina na haijajulikana kama inamilikiwa na mtanzania au lah, huku picha za Irene Uwoya, Diamond Platinumz, Johari na Vicent Kigosi "Ray" zikitumika kupamba kuta za restaurant hiyo.

Picha hii ya Johari na Ray inasemekana ilipigwa miaka kadhaa nyuma wakati wakiigiza filamu ya Revenge na ipo katika Restaurant ya Medina nchini China.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo