Mafuriko
Makubwa mto Lukuledi Wananchi wako Juu ya Miti Wilaya za
Nachingwea, Ruangwa, Namangale,Sasa Maji yapo Nyangao Kasi ya Ajabu wenye
mawasiliano wawapigie ndugu zao walio mashambani watoke haraka kuanzia
nyangao,mtama mtua kiwalala etc
Watu
wawili wanasadikiwa Kufa na wengine wanajiokoa kwa Kupata Juu ya Miti.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi amethibitisha Tukio hilo Kutokea na
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Inafanya juhudi ya Kupeleka Boti Kwa Ajili ya
Uokoaji.
Endelea Kutembelea Blog Hii Tutazidi Kukujuza Kinachoendelea…