PICHA ZA ZIARA YA MKUU WA MKOA WA NJOMBE KATIKA SHULE YA SEKONDARI MANG'OTO WILAYANI MAKETE

 Mkuu wa mkoa wa Njombe Kapteni Mstaafu Aseri Msangi (kulia) akiwasili shule ya sekondari Mang'oto wilaya ya Makete, kulia ni Mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro.
Mkuu wa shule ya sekondari Mang'oto Mwl. Mgaya akisoma taarifa ya shule kwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe
 Mkuu wa mkoa wa Njombe kapt. Msangi akikagua majengo ya shule hiyo.
 Mkuu wa mkoa akiwa kwenye chumba cha darasa la Kidato cha nne.
 Mkuu wa mkoa wa Njombe kapteni Msataafu Aseri Msangi akizungumza na wanafunzi wa kidato cha nne Mang'oto sekondari.
 Mkuu wa mkoa akimuangalia mwanafunzi wa kidato cha nne akichora muhindi na atoe maelezo jinsi unavyozaliana.
 Hapa mkuu wa mkoa akimsahihisha mwanafunzi huyo eneo alilokosea kujibu
Msafara wa mkuu wa mkoa ukijiandaa kuondoka shuleni hapo.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo